Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa nje ya Ukumbi wa Mkutano kulia Mhe Ali Juma Shamuhuna, Mhe. Dk.Mwinyihaji Makame na Mhe Machano Othman ,wakibadilishana mawazo baada ya kumalizika kwa Kikao cha Asubuhi.
Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis, akisisitiza jambo alipokuwa akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Kitope Makame Mshimba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi, Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee (kushoto) akijadili jambo na Mwakilishi wa Mji Mkongwe Jussa Ismail, wakati wa mapumziki ya Kikao cha asubuhi kumalizika jana
Mjumbe wa Mji Mkongwe Jusa Ismail, akichangia mswada wa Mafaoo kwa Viongozi wa Kisiasa, katika Kikao cha Asubuhi.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wakichangia Mswada wa Mafao ya Viongozi wa Kisiasa Wastaafu Zanzibar.
0 Comments