6/recent/ticker-posts

Raza akuchuwa Fomu ya Uwakilishi jimbo la Uzini leo.

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja Mussa Ali Juma (kulia) akimkabidhi fomu ya kugombea Uwakilishi Jimbo la Uzini,  Mohamed Raza Hassan Daramsy kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, makabidhiano hayo yamefanyika  katika Ofisi za Tume Koani,baada ya kuteulwa na Chama chake kugombea Uwakilishi katika Jimbo la Uzini, kufuatia kufariki kwa Mwakilishi wake.

Post a Comment

1 Comments

  1. kamanda sio mjanja wewe tunamchongo mpya wa kukuibiya picha zako angalia kwenye blog yetu tushaichomoa hii na kila utakachoweka tuta copy

    ReplyDelete