MSIMAMIZI wa Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja Mussa Ali Juma (kulia) akimkabidhi fomu ya kugombea Uwakilishi Jimbo la Uzini, Mohamed Raza Hassan Daramsy kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za Tume Koani,baada ya kuteulwa na Chama chake kugombea Uwakilishi katika Jimbo la Uzini, kufuatia kufariki kwa Mwakilishi wake.
WAZIRI NANAUKA -SERIKALI ITAENDELEA KUVIPA KIPAUMBELE VIKUNDI
VINAVYOREJESHA MIKOPO
-
Na Oscar Assenga,Muheza, Tanga
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Maendeleo ya Vijana, Joel
Nanauka amesema serikali itaendelea kuvipa kipaumbe...
20 minutes ago
1 Comments
kamanda sio mjanja wewe tunamchongo mpya wa kukuibiya picha zako angalia kwenye blog yetu tushaichomoa hii na kila utakachoweka tuta copy
ReplyDelete