Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali zilizokodi katika, jengo la ZSSF,wakiwa nje ya Ofisi zao baada ya kutokea Shoti ya Umeme katika jengo hilo lilioko Mwanakwerekwe Unguja jana, katika ajali hiyo hakuna madhara yoyote yaliotokea.
RC SENDIGA APINGA TAKWIMU ZA DAWA MANYARA
-
Na Mwandishi Wetu, Manyara.
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, amepinga takwimu zinazoonesha
kuwa upatikanaji wa huduma za dawa mkoani humo ume...
4 hours ago
0 Comments