6/recent/ticker-posts

Kmkm na Chuoni Ligi Daraja la Kwanza Matokeo 2 - 2

Mchezaji wa timu ya Chuoni Rashid Moka, kulia na mchezaji wa timu ya kmkm Rashid Faki, wakiwania mpira katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mau timu hizo zimetoka sare ya 2-2.  
Beki wa timu ya Chuoni Issa Saleh, akimzuiya mshambuliaji wa timu ya Kmkm Ame Khamis (Kibobea) timu hizo zimetoka sare ya 2-2. 
Mshambuliaji wa timu ya Chuoni Saleh Hamad, akijiandaa kuzuia mpira huku beki wa timu ya Kmkm Pandu Haji, akijaribu kumzuiya, katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar inayoendelea katika uwanja wa Mau timu hizo zimetoka 2-2.
Mshambuliaji wa timu ya Chuoni Saleh Hamad, akimpita beki wa timu ya Kmkm katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar.

Post a Comment

1 Comments

  1. assalamu alaykum boss wangu kwanza ahsante sana kwa kutuletea vitu vya kinyumbani kwa sisi tuliokuwa mbali na kwetu mungu akujaalie wepesi wa mambo yako. sasa kuna kuna kitu hichi nakuomba kwa hisani yako kama unaweza ukituwekea picha tunaomba na ufafanunuzi ili tupate tuwajue kwa mfano kama hii picha ya mpira mau lakini hatujui nani nani wala ngapi ngapi. ahsante

    ReplyDelete