6/recent/ticker-posts

Dk Shein Akutana Mwakilishi wa WHO Nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed shein,akiagana na Dr. Rufaro R.Chatora,WHO Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni,nchini Tanzania,(kulia) baada ya
mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Dr. Rufaro R.Chatora,WHO Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni,nchini Tanzania,(kushoto) na Waziri wa
Afya Juma Duni Haji,(kulia) baada ya mazungumzo yao Ikulu Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Dk. Rufaro R.Chatora,WHO Mwakilishi  wa Shirika la Afya Ulimwenguni, nchini Tanzania,(kushoto) na Waziri wa Afya Juma Duni Haji,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

Post a Comment

0 Comments