6/recent/ticker-posts

Dk Bilal Akutana ana Mtafiti Bingwa wa Masokwe Duniani


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakizungumza na Mtafiti bingwa wa Masokwe Duniani, aliyekaa nchini kwa miaka 50 akifanya utafiti wa Masokwe katika Mapori ya Gombe na Mahale, Jane Goodall, wakati alipofika Ikulu ndogo Wilaya ya Mpanda mkoa wa Katavi kwa ajili ya mazungumzo jana
Februari 18, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Post a Comment

0 Comments