6/recent/ticker-posts

Dk Shein Akutana na Uongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza Ujumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,(NEC)ukiongozwa na Jaji Damian Lubuva,(wa nne kushoto),walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,(NEC) Jaji Damian Lubuva,akiogoza ujumbe wa Tume hiyo walipofika Ikuku Mjini Zanzibar jana kuonana na Rais, (katikati) Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar,pia Makamo Mwenyekiti wa Tume hiyo Hamid Mahmoud Hamid.

Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

Post a Comment

2 Comments

  1. Jamani Tanzania hakuna vijana mahiri wa kushika hizi nafasi.Hao wazee wanaoneka weshachoka ki umri na hata mvuto mapaka lini au mpaka mauti yawakabili ndio uwe mwisho wao?jaji Damian Lubuva yuhoi bin taabani,na huyu Hamid nae halkathalika.

    ReplyDelete
  2. Hii nchi we acha tu!

    ReplyDelete