6/recent/ticker-posts

Issa Michuzi na Othman Maulid


Mpiga picha wa Daily News na mmiliki wa Blog Maarufu ya jamii Issamichuzi.blogspot.com akibadilishana mawazo, mikakati na mpiga picha wa Zanzibar Leo na mmiliki wa blog ya zanzinews.blogspot.com.

Picha na Yussuf Simai, Maelezo Zanzibar

Post a Comment

2 Comments

  1. wazee, najua mnabadilishana uzoefu, hongereni kwa kazi mnayoifanya!..Mungu awabariki.

    ReplyDelete
  2. Mzee Othman zungumza na Michuzi akuunganishie matangazo ya biashara uengeze kipato kidogo...

    ReplyDelete