Katibu wa Tume ya Utumishi ya Mahakama Zanzibar Mhe. Yessaya Kayange, akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu ufanyaji kazi wa tume hiyo, ambayo tayari imeshaanza kazi zake baada ya kuzinduliwa hivi karibuni. Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Jengo la Mahakama Vuga.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa Tume ya Utumishi ya Mahakama.
0 Comments