6/recent/ticker-posts

Ligi Kuu ya Zanzibar Kmkm vs Super Falcon imeshinda 1-0

Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar kama unavyosomeka katika bao lililowekwa uwanja wa Mao kwa wapenzi wa mchezo huo kujionea msimamo wa timu zao, katika mzuguko wa pili. 
Wapenzi wa mchezo wa mpira wakiwa katika uwanja wa Mao wakifuatilia ligi kuu ya Zanzibar, kati ya Kmkm na Super Falcon, timu ya Falcon imeshinda 1-0. 
Mshambuliaji wa timu ya Super Falcon Omar Mohammed, akimpita beki wa timu ya Kmkm Juma Mbwana, katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao,timu ya Falcon imeshinda 1-0.   
Kiungo mchezeshaji wa timu ya Falcon Mbarouk Marshed, akiwapita wachezaji wa timu ya Kmkm, kartika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar.Timu ya Super Falcon imeshinda 1-0.  
Mchezaji wa timu ya Falcon, akimpita beki wa timu ya Kmkm, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Falcon imeshinda 1-0. 
Mchezaji wa timu ya Falcon Robert Joseph, na wa timu wa Kmkmk Ventiraus John, wakiwania mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wac Mao.timu ya Super Falcon imeshinda 1-0.

Post a Comment

0 Comments