Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akikagua kikosi cha Jamhuri wakati akiwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mchezo huo uliofanyika Gombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikagua vikosi vya timu ya Jamhuri ya Kisiwani Pemba na Hwangwe ya Zimbabwe wakati akiwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mchezo huo uliofanyika Gombani.
Timu ya Jamhuri ilifungwa goli 3-0 na hivyo kujiweka katika mazingira magumu kuendelea duru ya pili.
(Picha, Salmin Said, OMKR)
1 Comments
Hii mechi iliishia vipi matokeo? hebu tupeni habari nimetafuta blog zote sikuona kitu
ReplyDelete