Meli ya Kitalii kutoka Nchini Afrika Kusini Clipper Odyssey. ikifanya Safari za Kitalii katika Visiwa vya Unguja na Pemba, kutembelea sehemu za historia, ikiwa na Watalii 58, ikiondoka katika bandari ya Unguja kuendelea na safari yake.
Tanzania yahimiza Matumizi ya AI Kuimarisha Mtangamano na Maendeleo EAC
-
JAMHURI ya Muungano wa Tanzania imesisitiza matumizi ya Akili Unde
(Artificial Inteligence – AI) ikiwa ni moja ya nyenzo muhimu na ya kisasa
katika kuku...
41 minutes ago
1 Comments
Hongera zao vijana, najua wamekula 'vichwa' hapo
ReplyDeleteAh..maskini enzi zangu!