Meli ya Kitalii kutoka Nchini Afrika Kusini Clipper Odyssey. ikifanya Safari za Kitalii katika Visiwa vya Unguja na Pemba, kutembelea sehemu za historia, ikiwa na Watalii 58, ikiondoka katika bandari ya Unguja kuendelea na safari yake.
FUKUO LA KUFUKUA MAAJABU YA NGORONGORO LAFUKULIWA
-
Waswahili husema "Dunia ni jumba la maajabu " Ngorongoro haiishiwi maajabu
, Ni kama vile lile fukuo la kufukulia maajabu ndani ya hifadhi ya eneo la
Ng...
24 minutes ago
1 Comments
Hongera zao vijana, najua wamekula 'vichwa' hapo
ReplyDeleteAh..maskini enzi zangu!