MENEJA Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Amour Juma Amour (katikati) akimkabidhi mfano wa hundi ya dola za kimarekeni Elfu Tano Katibu Mkuu wa timu ya Jamhuri ya Pemba Omar Ahmed Awadh,kwa ajili ya kushiriki katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika,(Picha na Abdallah Masangu).
TANROADS Yatoa Mwongozo wa Vibali vya Mabango Barabarani, Yatahadharisha
Dhidi ya Matapeli.
-
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetoa utaratibu rasmi wa uombaji wa
vibali vya kusimika mabango kando ya barabara, ikiwa ni hatua ya
kukabiliana ...
6 minutes ago
1 Comments
Ama kweli ushindani ni muhimu ktk. kila jambo.
ReplyDeleteyaani PBZ walikua ndio benki pekee kubwa na maarufu Z'BAR hapa lkn. tulikua hatuoni harakati za namna hii, ila saivi wanajikurupusha!