Mwenyekiti Ufundi wa ZASEA Mwalimu Mussa Abdi Khamis, akitowa maelezo jinsi ya upatikanaji wa Umeme kutumia Solar, wakatika wa Uzinduzi wa Kitabu cha NISHATI RAFIKI, uliofanyika katika skuli ya Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
Fundi wa ZASEA, akitowa mafunzo kwa Wanafunzi wa Skuli ya Kibele jinsi ya matumizi ya Umeme wa Solar kwa wahao ikiwa ni moja wa Mradi wa kutowa Taa za Solar kwa Wanafunzi kujisomea wakati wa Usiku.mradi huu utazinufaisha Skuli 25 Unguja na Pemba kwa gharama ya shilingi 9000/=.
Walimu wa somo la Sayansi wa Skuli ya Kibele wakiwa na taa zao za Solar waliokabidhiwa baada ya kuzinduliwa mradi huo.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dk. Islam Seif Salim, akimkabidhi mmoja wa Mwalimu wa somo la Sayansi Tubine Wanga, katika Mwenyekiti wa Jumuiya ya DTP ya Ujarumani inayofadhili Mradi huo Andrea Karsten. uzinduzi huo umefanyika skuli ya sekondari ya Kibele Unguja.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya DTP ya Ujerumani inayofadhili Mradi huo wa usambazaji Taa za Solar kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari katika vijiji vya Unguja na Pemba.
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dk. Islam Seif Salim, akimkabidhi kitabu kinachotowa Elimu ya Utunzaji wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi Mwalim Mkuu wa Skuli ya Kibele, kwa ajili ya kutoa elimu ya Mabadiliko ya Tabianchi kwa wanafunzi na utuzaji wa mazingira.
1 Comments
KWELI ILIKUA VALENTINE..RED, RED..ALL THE WAY?
ReplyDelete