Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyihaji Makame, akizungumza na Waandishi wa habari katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni, kuhusu maendeleo na Mafanikio ya Wizara yake.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Dk. Mwinyihaji Makame, alipokuwa akitowa taarifa ya Mafanikio ya Wizara yake katika kipindi hichi cha miezi sita.
Makamanda wa Vikosi vya SMZ wakimsikiliza ambavyo viko chini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais ,wakimsikiliza Waziri akitowa Taarifa ya mafanikio na changamoto ya Wizara yake kwa Waandishi wa habari.
Baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Wilaya wakiwa katika mkutano na Waandishi wa habari wakisikiliza taarifa ya Wizara hiyo ikitolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Baraza Mapinduzi Dk. Mwinyihaji Makamev kwa waandishi wa Habari.
Kaimu Mkurugenzi wa Baraza la Manispa akijibu swali lililoulizwa katika Taasisi hiyo kuhusu utupaji taka ovyo katika maeneo ya Mjini.
Afisa Tawala wa Wilaya ya Magharibi akijibu swali la ujenzi wa majaa bila ya kuwashirikisha wabnanchi katika makazi yao.
Mkuu wa Wila ya Mjini akijibu swali la uzururaji wa mifungo katika Wilaya yake, wakiti wa Mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia maendeleo na mafanikio ya Wizara hiyo.
Kamanda wa Kikosi cha JKU, akijibu swali la vijana wanaopata ajira za Jeshi.
Mkurugenzi wa Idara ya Vitambulisho Zanzibar akijibu swali la malalamiko kwa baadhi ya wananchi hutopewa vitambulisho,amesema Kitambulisho ni haki ya kila mtu ikiwa ametimiza masharti ana wajibu kupata, akipitia ngazi za Mashekha na Mkuu wa Wilaya na kujaza fomu maalumu za kuomba kitambulisho.
Mkuu wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar, akijibu swali la pungufu zilizoonekana na tume ya haki za binadamu ilipotembea gmagera ya Zanzibar. na kujibu Mapugufhayo yanafanyiwa kazi na katika kipindi kifupi matengezezo hayo yatakuwa yameshamaliza.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyihaji Makame, akitowa ufafanuzi wa maswali yaliolizwa katika Mkutano huo kwa Waandishi wa Habari.
3 Comments
kwani mapara ukiweka picha kama mbili au tatu kuna ubaya gani coz unaweka mapicha kibao hadi mtu anachoka kuangalia au ndo hamna cha kuandika please fikiria kuhusu hili
ReplyDeleteSawa Mkuu ujumbe umefika
ReplyDeletethanks bro
ReplyDelete