Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifuatana na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Bibi Tonia Kandiero,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana, kujitambulisha kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Bibi Tonia Kandiero,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,kujitambulisha kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Bibi Tonia Kandiero, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,kujitambulisha kwa Rais.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
0 Comments