Wafanyakazi wa Baraza la Manispaa Zanzibar wakipanda mau katika eneo la Michenzani, ili kuimarisha bustani za barabara hiyo na kuweka katika hali ya usafi wa mazingira ya mji wa Unguja.
Teknolojia : Wizara Maji na Matumizi ya Teknolojia katika utatuzi wa
changamoto
-
Na: Dk. Reubeni Lumbagala
Wiki ya Maji Kitaifa nchini Tanzania na Siku ya Maji Duniani imemalizika
Machi 22, 2026. Imekuwa ni wiki nzuri kwani mijadal...
2 hours ago
0 Comments