Wanafunzi wa Skuli ya Bububu wakitembea kurudi nyumba baada ya kumaliza masomo yao, inabidi kutumia usafiri huo kwa kukataliwa kupanda gari za daladala kwa kuwa nauli zao ndogo zilizowekwa na Serikali mwanafunzi anastahili kulipa shilingi 200/= na abiria wa kawaida hulipa shilingi 300/= inabidi kutumia usafiri huo wa kurudi nyumbani baada ya masomo yao.
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
7 hours ago
0 Comments