Wajasiriamali Wanawake wakiweka mkakati jinsi ya kuendeleza biashara zao wakati wa kikao cha kujadili mwendendo na mafanikio ya Wajasiriamali Zanzibar wakati wa shughuli zao katika soko la Sunday Market Michezani wiki iliopita.
JAFO EDUCATION FOUNDATION YAFADHILI VIJANA 51 KUSOMA CHUO CHA FDC KISARAWE
– MZENGA
-
Na.Mwandishi Wetu
Taasisi ya Jafo Education Foundation imefadhili jumla ya vijana 51 kusoma
katika Chuo cha FDC Kisarawe - Mzenga, kwa lengo la kuwawe...
16 hours ago
2 Comments
jamani soko la kila wiki ni bora kuuzwa vitu vinavyo hitajika katika matumizi ya familia ya kila siku yakiwemo matunda, mboga mboga n.k. hii pia ingesaidia kupunguza msongamano kwenye masoko yetu hasa kwa siku ya jumapili. Badilini sera.
ReplyDeleteMchangiaji wa mwanzo,upo right kabisaaaa!
ReplyDeleteNa hasa ukizingatia jiografia ya maeneo ya Michenzani,hakuna soko la karibu katika kuwahudumia wakaazi wa maeneo hayo. Wakaazi wa maeneo hayo,inabidi waende sokoni Mkunazini(soko la karibu),au M/kwerekwe (ambalo liko mbali) katika kujipatia huduma zao vyakula.
Maassalaam