Wajasiriamali Wanawake wakiweka mkakati jinsi ya kuendeleza biashara zao wakati wa kikao cha kujadili mwendendo na mafanikio ya Wajasiriamali Zanzibar wakati wa shughuli zao katika soko la Sunday Market Michezani wiki iliopita.
KARIAKOO, ZIMAMTOTO WATOA ELIMU YA ZIMAMOTO NA UOKOJI KWA WAFANYABIASHARA
ZAIDI YA 400
-
Shirika la Masoko ya Kariakoo kwa kushirikiana na Jeshi la Zimamoto na
Ukoaji Mkoa wa Kizimamoto Ilala imetoa mafunzo ya zimamoto na uokoaji kwa
watumish...
49 minutes ago
2 Comments
jamani soko la kila wiki ni bora kuuzwa vitu vinavyo hitajika katika matumizi ya familia ya kila siku yakiwemo matunda, mboga mboga n.k. hii pia ingesaidia kupunguza msongamano kwenye masoko yetu hasa kwa siku ya jumapili. Badilini sera.
ReplyDeleteMchangiaji wa mwanzo,upo right kabisaaaa!
ReplyDeleteNa hasa ukizingatia jiografia ya maeneo ya Michenzani,hakuna soko la karibu katika kuwahudumia wakaazi wa maeneo hayo. Wakaazi wa maeneo hayo,inabidi waende sokoni Mkunazini(soko la karibu),au M/kwerekwe (ambalo liko mbali) katika kujipatia huduma zao vyakula.
Maassalaam