6/recent/ticker-posts

Innaa Lillaahi Wainnaa Ilayhi Raajiuun - Dr Yussuf Saleh Salum Mwenyekiti wa Muwaza Hatunaye Tena

Kwa niaba ya Jumuiya ya MUWAZA, Tunasikitika kutangaza kifo cha Mwenyekiti wetu na Mzee wetu Dr. Yussuf Saleh Salim kilichotokea huko Copenhagen - Denmark Habari zaidi za mazishi tutakutaarifuni zaidi.

Post a Comment

0 Comments