Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa nje ya Ukumbi wakijadili jambo, kulia Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis na Mwakilishi wa Kikwajuni Mahmoud Mohammed ,baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi kwa mapumziko.
MWANAMKE MMOJA AFARIKI DUNIA AJALI YA ROLI MBEZI KWA MSUGULI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mwanamke mmoja amefariki dunia baada ya gari aina ya roli lenye namba ya
usajili T696 CLY kuacha njia na kumgonga mwanamke ...
3 hours ago
0 Comments