Mdau mambo ya usafiri wa kutumia gari ya punda ndani ya Mji Mkongwe, Usafiri huu wa kutumia wanyama umepingwa mararufuku katika maeneo ya mjimkongwe, lakini bado kuna baadhi ya watoa huduma hii huingia katika maeneo ya mjini bila ya kuwa na wasiwasi kama alivyokutwa punda huyu akiwa katika mtaa wa Mkunazini akisubiri kushusha mzigo huo wa majengo na saruji.
MIKOKO YAPEWA KIPAUMBELE KITAIFA
-
-Waziri: Hekta 158,000 za hifadhi zilindwe, ziwe ngao ya mabadiliko ya
tabianchi
Na Mwandishi Wetu, Lindi
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe Dkt. Ashatu ...
22 minutes ago
0 Comments