6/recent/ticker-posts

Rais Kikwete Akiwa Brazil

Mhe. Rais Jakaya  Kikwete pamoja na Mkewe Mama Salma wakiwa na baadhi ya Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje, mjini Brasilia DF ambapo Rais alikuwa katika ziara ya Siku tano nchini humo


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Jakaya  Kikwete, Mhe. Francis Malambugi, Balozi wa Tanzania nchini Brasil  (kulia) na Bw. Ali Ubwa Mussa, Afisa Wizara ya Mambo ya Nje (kushoto).

Post a Comment

0 Comments