Meli ya Mizigo ikishusha mizigo ya Wafanyabiashara wa Zanzibar na Nchi jirani. Bandari ya Zanzibar hutowa huduma za upakizi na ushushaji wa mizigo mbalimbali inayoagizwa kupitia bandari hii.
MABORESHO MAKUBWA HOSPITALI YA MJI HANDENI, SERIKALI YATOA BIL.1.2 KUWEKA
VIFAA TIBA VYA KISASA
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Maboresho ya huduma za afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni
yameanza kuleta matokeo chanya baada ya idadi ya wagon...
1 hour ago
0 Comments