Tawi la mtii likiwa katika moja ya nguzo ya umeme likiwa limezongwa na waya kwa muda mrefu sasa bila ya kuondoshwa na linatishia watembea kwa miguu wanaopita katika barabara hiyo ya jirani hospitali ya Muembeladu. wahusika bado kuchukuwa hatua za kuliondosha wakati umeme ukitumika.
SALAMU ZA MWAKA MPYA 2026 KUTOKA KWA MWENYEKITI WA TANZANIA BLOGGERS
NETWORK (TBN)
-
Ndugu Wasomaji na Watumiaji wa Blogu Tanzania.
Tunapouaga mwaka 2025, nachukua fursa hii, kwa niaba ya wanachama wote wa
Tanzania Bloggers Network (TBN),...
1 hour ago
0 Comments