Mwananchi Juma Mcha wa Matemwe akizungumza na Waandishi wa habari nje ya Ofisi hizo jinsi hali ya ucheleweshaji wa ckupatikana kwa vyeti vya kuzaliwa na huchukuwa muda mrefu hadi kupata cheti hicho na kusema yeye toka mwaka jana bado hakupata cheti cha mtoto wake.
MUUNGANO WAZIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUIBUA VIPAJI VYA MICHEZO
-
Wachezaji wa Timu ya Mpira wa Pete (Netiboli) ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na (Mazingira) wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya
kuwasil...
9 hours ago
0 Comments