Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimpokea makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlanthe,
aliyewasili nchini leo Julai 8, 2012 kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo
atakuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Bilal na kesho atatembelea
Mazimbu mkoani Mororgoro
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na kuzunguma jambo na makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini,
Kgalema Motlanthe, aliyewasili nchini leo Julai 8, 2012 kwa ajili ya ziara
ya siku mbili, ambapo atakuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Bilal
na kesho atatembelea Mazimbu mkoani Mororgoro
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na makamu wa Rais
wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlanthe, baada ya kuwasili nchini leo Julai
8, 2012 kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo atakuwa na mazungumzo na
Makamu wa Rais Dkt. Bilal na kesho atatembelea Mazimbu mkoani Mororgoro. Picha
na Muhidin Sufiani-OMR



0 Comments