Kwa niaba ya wana-Diaspora wote nchini
Canada, Kamati Tendaji ya Zanzibar – Canadian Diaspora
Association
(ZACADIA)
inachukuwa fursa hii kutoa salamu za hongera kwa Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi na Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein kwa agizo alilolitoa la
kununuliwa meli kubwa mpya ya abiria wapatao 1000 na yenye uwezo wa kuchukua
mizigo ya tani 100 ambayo itawaondoshea shida na usumbufu wa usafiri wa
baharini wananchi wanaosafiri kati ya Unguja, Pemba na Tanzania Bara.
WANAWAKE TTCL WAWASAIDIA WATOTO WAGONJWA WA MOYO JKCI
-
*Baadhi ya Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wakiwa
na Daktari Bingwa Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto - JKCI, Dk.
Naizihijwa Majan...
5 hours ago
0 Comments