Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakiitikia Wito wa Serekali kutunza Mazingira ya Maeneo yao wakipanda miti ya aina ya mikoko ili kutunza mazingira ya eneo hilo ili kurusuru ardi hiyo kukumbwa na mmomonyoko wa ardhi katika eneo hilo.
TARI Naliendele yashauri wakulima wa korosho kufuata hatua hizi kuleta tija
uzalishaji wa korosho nchini
-
Na Anne Robi, Mtwara
WATAALAMU wa kilimo cha korosho nchini wamewaasa wakulima kuanza kuandaa
mashamba yao kwa kufuata hatua kuu tatu na muhimu katika kul...
9 hours ago
0 Comments