Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani kuwania
Taji la Miss Vyuo Vikuu 2012, siku ya Ijumaa wiki hii katika Ukumbi wa Maisha
Club, wakipozi kwa picha ya pamoja nje ya Ukumbi wa Bunge, wakati warembo hao
walipofika kutembelea na kujifunza shughuli za Bunge mjini Dodoma Leo, Julai
03, 2012.
MIKOKO YAPEWA KIPAUMBELE KITAIFA
-
-Waziri: Hekta 158,000 za hifadhi zilindwe, ziwe ngao ya mabadiliko ya
tabianchi
Na Mwandishi Wetu, Lindi
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe Dkt. Ashatu ...
19 minutes ago


0 Comments