Wajasiraiamali wanawake wa Wilaya ya
Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakimsikiliza mtoa mada Ali Haji Hamad
hayupo pichani, kwenye mafunzo ya siku mbili ya matumizi ya vyombo vya habari,
yaliofanyika jana huko Skuli ya sekondari ya Wingwi, ambayo yameandaliwa na
Mradi wa Ujasiriamali na Maisha na kuratibiwa na TAMWA (picha na Haji Nassor, Pemba )
Makubaliano Mapya Yafungua Mlango wa Tafiti na Ubunifu Tanzania
-
Na Mwandishi Wetu, Arusha.
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kwa
kushirikiana na Taasisi ya Global Education Link Ltd wamesaini ...
33 minutes ago
0 Comments