Watoto wakiwa katika Ufukwe wa Bahari ya Forodhani wakiogolea ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea sikukuu ya Eid el Fitry kwa michezo mbalimbali katika Visiwa vya Zanzibar, wakiungana na Waislam wengine Duniani kushereherea sikukuu hii.
Je Simba Msimu Huu Ataondoka Kapa Tena?
-
LEO hii Meridianbet tunaangazia klabu ya Simba ambayo imekuwa na mabadiliko
yanayotokea hap na pale huku nafasi ya wao kushinda taji la NBC Premier
Leagu...
19 hours ago
0 Comments