Vijana wa Msalaba Mwekundu wakitowa huduma ya Kwanza kwa Watoto wanaopata madhara katika viwanja vya sikukuu wakitowa huduma ya kwanza kwa Mtoto aliyeumia katika kiwanja cha sikukuu cha Jamuhuri Garden.
Kitaifa : Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akutana na waziri Mkuu Mstaafu
Kassim Majaliwa
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim
Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi.
Mheshimiwa Dkt. Mwigu...
8 hours ago
0 Comments