Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ofisi ya Zanzibar Balozi Silima
K.Haji,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Mkurugenzui wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ofisi ya Zanzibar Balozi Silima K.Haji,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
WATATU WATIWA MBARONI KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA
-
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu ambao ni
Mseveni Menat, Mkazi wa Uyole, Fred Lulandala, Mkazi wa Mapelele na Joseph
Ngelen...
4 minutes ago
1 Comments
danganya toto nyengine ya muungano , kwa vipofu wenye macho lakini hawaoni, wana masikio lakini viziwi , wana midomo lakini mabubu
ReplyDelete