Bandari ya Zanzibar hutowa huduma kwa Meli kubwa za Mizigo na makontena, bandari hiyo ina uwezo wa kufunga gati meli kubwa kama hii inavyoonekana picha ikishusha makontena katika bandari hiyo na kupakia
Maafisa Elimu Kata Wapewa Mbinu za Kusimamia Shule kwa Ufanisi
-
NA EMMANUEL MBATILO, BAGAMOYO
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Wakala wa Maendeleo ya
Uongozi wa Elimu (ADEM) itaendelea kutoa fursa za mafun...
22 minutes ago
0 Comments