6/recent/ticker-posts

Melia Hotel, Yaungana na UNECEF, Kuchangia Mfuko wa Watoto katika Chakula cha Usiku.

 
 
 
 Watoto wakishiriki katika kutowa burudani katika sherehe za kuchangia Mfuko wa Watoto kuzuia Ukatili Dhidi ya Watoto. 
 Meneja wa Hoteli ya Melia Zanzibar akitowa maelezo machache kuhusu hoteli yake kuchangia Mfuko huo.
 Kiongozi wa UNICEF Tanzania Andy Brooks, akizungumzia kuhusu haki ya Watoto katika Chakula cha Usiku kilichoandaliwa na hoteli ya Melia Zanzibar kwa kushirikiana na Unicef,
 Wageni wa waliofikia hoteli ya Melia wakisikiliza hutuba wakati wa Chakula cha usiku kuchangia mfuko wa UNICEF.





Post a Comment

0 Comments