6/recent/ticker-posts

Dk Bilal aendelea na ziara ya kuwatembelea wazee leo azuru kaburi la Marehemu Idris Abdulwakil Makunduchi

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kulia) akiwa mbele ya Kaburi la Rais wa zamani wa Zanzibar Hayati Idris Abdulwakil, wakati alipozuru Kijiji cha Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja juzi. Rais Wakil alifariki dunia mwaka 2001. Dk Bilal alifika eneo hilo juzi katika ziara yake ya kuwatembelea wazee mbali mbali mkoani humo

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee Ali Khamis Abdallah (98) ambaye ni mmoja kati waasisi 10, waliokaa pamoja na kuunganisha vyama vya African Association na Shiraz Association na kuwa Chama cha Afro Shiraz Party (ASP), wakati akiwa katika ziara yake ya kutembelea wazee, leo Desemba 25, 2012, nyumbani kwake Mbweni, mjini Unguja. Kulia ni mke wa Mzee Ali, Asha Ali Ghulam Hussein
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Ali Khamis Abdallah (98) ambaye ni mmoja kati waasisi 10, waliokaa pamoja na kuunganisha vyama vya African Association na Shiraz Association na kuwa Chama cha Afro Shiraz Party (ASP), wakati akiwa katika ziara yake ya kutembelea wazee, leo Desemba 25, 2012, nyumbani kwake Mbweni, mjini Unguja. Picha na OMR

Post a Comment

1 Comments

  1. anataka uraisi huyu bilal si bure anaona bora anze kampeni na mapema

    ReplyDelete