AFISA Mdhamini Afisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Pemba Al-hajjat Jokha Khamis Makame akipanda mnara wa
kuongozea meli uliopo Kigomasha Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba,
anaeshuka ni Mkurugenzi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Zanzibar, Naimu
Ramadhan Pandu wakati ujumbe huo ulipofika huko kwa ajili ya kuangalia utendaji
wa kazi wa mnara huo (picha na Haji
Nassor, Pemba
TARI Naliendele yashauri wakulima wa korosho kufuata hatua hizi kuleta tija
uzalishaji wa korosho nchini
-
Na Anne Robi, Mtwara
WATAALAMU wa kilimo cha korosho nchini wamewaasa wakulima kuanza kuandaa
mashamba yao kwa kufuata hatua kuu tatu na muhimu katika kul...
5 hours ago
0 Comments