Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara Zanzibar Mhe. Ali Vuai, akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na mkutano wa Baraza hilo unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii jumamosi katika ukumbi wa Salama Bwawani, na kutowa mantiki ya Mkutano wa mwaka huu ni kuimarisha sekta ya Viwanda na mada tatu zitajadiliwa.Amesema mkutano huu wa saba wa ZBC, unatarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 450, kutoka ndani ya Zanzibar na nje ya Zanzibar na kushirikisha sekta zote za Umma na Sekta Binafsi.
Mwanndishi wa Redio ya Coconat FM Donisia akiuliza swali wakati wa mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa OFisa za ZBC Kinazini Zanzibar.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara Zanzibar Mhe. Ali Vuai, alipokuwa akizungumza na waanndishi kuhusiana na mkutano wa ZBC jumamosi utakaofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani.
DKT. MAULID - USIMAMIZI FANISI WA SHUGHULI ZA ELIMU NI CHACHU YA MAFANIKIO
KATIKA SEKTA YA ELIMU
-
8 Januari, 2026
Hayo yamesemwa leo tarehe 08 Januari, 2026 na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Maendeleo ya Uongozi wa Elimu – ADEM Dkt. Maulid J. Maulid alipoku...
57 minutes ago
0 Comments