Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein amemteuwa Profesa Ali Seif Mshimba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Viwango la Zanzibar(Zanzibar Bureau of Standards) katika Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee imeeleza kuwa Rais amefanya uteuzi huo kwa uwezo aliopewa chini ya kifungu 8(2)(a) cha Sheria ya Viwango namba 1 ya mwaka 2011.
Uteuzi huo umeanza jana.
IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR 3/1/2013
Muziki : Rais Dkt Samia amkumbuka nguli Zahir Zorro
-
Na Mashaka Mhando
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
amemtumia salamu za faraja na mkono wa heri nguli wa muziki w...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments