Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,
Dk. Edmund Mvungi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Shirikisho la
Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) waliofika katika Ofisiza Makao Makuu yaTume Jijini
Dar es Salaam leo (Jumatano, Januari 9, 2013) kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya. Kulia ni Mjumbe wa Tume,
Bi. Maria Kashonda na katikati ni Katibu Mkuu wa TUCTA, Bw. Nicholus Mgaya.
WAKALA WA VIPIMO WABAINI UDANGANYIFU WA MIZANI MABUCHANI TEMEKE NA KIGAMBONI
-
Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Temeke umebaini vitendo vya udanganyifu
katika baadhi ya mabucha yanayouza nyama, baada ya kufanya operesheni
maalum ya...
4 hours ago
0 Comments