Spika wa Baraza la Wawakiliishi Mhe Pandu Ameir Kificho akizungumza na Mwenyekiti wa tume ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba. Kushot no Katibu wa timu ya kuratibu Maoni Asaa Rashid
Ujumbe wa Baraza la wawakilishi ukiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kuraatibu maoni Katiba mpya
Spika wa Baraza la wawakilishi akifafanua jambo kwa Katibu wa tume ya kuratibu maoni Asaa Rashid wakati ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ulipofika ofisi ya tume kutoa maoni
ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KUMKATA VIDOLE MWANAFUNZI WA DARASA LA
NNE LUSHOTO
-
Na Oscar Assenga, LUSHOTO.
JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia Mkazi wa Welei wilayani Lushoto
mkoani Tanga Isaka Clement Ngulizi kwa kosa la ku...
4 hours ago



1 Comments
asalaam alaykum, Admin naomba tuwasilianae nimejaribu kukutumia email haikubali me nipo out side of tz (zenjibarza@gmail.com)
ReplyDeletehttp://zenjibarza.wordpress.com
http://uwelenizone.blogspot.com