Huyu wa kwanza safu ya mbele kushoto, nafikiri sana atakuwa Ali Juma Shamhuna, kwani nasikia naye alisoma hapo na alikuwa mwana michezo, na amefanana hasa
ndio tujitazamie ukweli , wakoloni hawakuwa waovu kama vile vyombo vyetu vya habari vinavyoonyesha , huenda kama wangeendelea kututawala tungewazidi waafrika kusini kwa maendeleo , lakini wapi.... tumejipiga nyundo mguuni wenyewe na bado mpaka leo mnayatukuza mapinduzi kama nini sijui , wakati majukumu yenu kwa wananchi yamekushindeni zimebakia ahadi tu .... na ndoto za alinacha
UPATIKANAJI WA DAWA WAIMARIKA NCHINI
-
OWM-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM– TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt. Jafari ...
MAHAFALI YA 48 YA BODI YA NBAA YAFANA
-
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa
kwenye maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 48 ya Bodi hiyo
yaliyofanyik...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
4 Comments
Huyu wa kwanza safu ya mbele kushoto, nafikiri sana atakuwa Ali Juma Shamhuna, kwani nasikia naye alisoma hapo na alikuwa mwana michezo, na amefanana hasa
ReplyDeletedah huyu jamaa wa mwanzo samuhuna copy mtupu..
ReplyDeleteSi tunaambiwa enzi hizo waswahili walikuwa hawasomeshwi au ....?
ReplyDeletendio tujitazamie ukweli , wakoloni hawakuwa waovu kama vile vyombo vyetu vya habari vinavyoonyesha , huenda kama wangeendelea kututawala tungewazidi waafrika kusini kwa maendeleo , lakini wapi.... tumejipiga nyundo mguuni wenyewe na bado mpaka leo mnayatukuza mapinduzi kama nini sijui , wakati majukumu yenu kwa wananchi yamekushindeni zimebakia ahadi tu .... na ndoto za alinacha
ReplyDelete