6/recent/ticker-posts

Enzi Hizoo... kumbe tunatoka mbali

King George the 6 ndiyo inayojulikana sasa kama Lumumba Secondary School
 
Picha kwa hisani ya mdau kutoka Canada

Post a Comment

4 Comments

  1. Huyu wa kwanza safu ya mbele kushoto, nafikiri sana atakuwa Ali Juma Shamhuna, kwani nasikia naye alisoma hapo na alikuwa mwana michezo, na amefanana hasa

    ReplyDelete
  2. dah huyu jamaa wa mwanzo samuhuna copy mtupu..

    ReplyDelete
  3. Si tunaambiwa enzi hizo waswahili walikuwa hawasomeshwi au ....?

    ReplyDelete
  4. ndio tujitazamie ukweli , wakoloni hawakuwa waovu kama vile vyombo vyetu vya habari vinavyoonyesha , huenda kama wangeendelea kututawala tungewazidi waafrika kusini kwa maendeleo , lakini wapi.... tumejipiga nyundo mguuni wenyewe na bado mpaka leo mnayatukuza mapinduzi kama nini sijui , wakati majukumu yenu kwa wananchi yamekushindeni zimebakia ahadi tu .... na ndoto za alinacha

    ReplyDelete