Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati)akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Millenium Challenge Cooperation(MCC) la Marekani Daniel Yohannes,akiwa na ujumbe wake akiwemo Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Millenium Challenge Cooperation(MCC) la Marekani Daniel Yohannes,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,akiwa na ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha
Uongozi wa Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa katika mpangilio wa Rais, kuzungumzia utekelezaji wa kazi za kila Wizara,
[Picha na RamadhanOthman,Ikulu.]
ADEM YAKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KUIMARISHA UONGOZI WA SHULE ZA SEKONDARI
-
Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) leo imepokea ujumbe wa wadau
wa maendeleo kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo Mastercard Foundation,
Education...
10 hours ago
0 Comments