Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Ofisi za Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala bora,wakiwa katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha
Utekelezaji wa Kazi za Wizara hiyo chini ya mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) jana asubuhi
Katibu Mkuu katika Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala bora,(kushoto) akiwa na Viongozi na maofisa wa Idara mbali mbali ,katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Zanzibar,katika
kikao cha Utekelezaji wa Kazi za Wizara hiyo chini ya Mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) jana asubuhi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
MHE. MILLYA ATEMBELEA KITUO CHA UTOAJI HUDUMA KWA PAMOJA CHA NAMANGA
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki
Mhe. James Kinyasi Millya (Mb.) ametembelea Kituo cha Utoaji Huduma kwa
Pamoja Mp...
2 hours ago



0 Comments