Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati)akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, (wa tatu kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
MZUMBE YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI - YATEMBELEA KITUO CHA AFYA
MLALI
-
Machi 5 2025, wanawake wa Chuo Kikuu Mzumbe wameadhimisha Siku ya Wanawake
Duniani kwa kufanya matendo ya huruma kwa jamii inayowazunguka kwa
kutembelea Ki...
50 minutes ago
0 Comments